alikuwa peke yake katika eneo lile lakini alihisi kama kuna mtu amemuona, jasho la woga lilianza kulowanisha uso wake.
ujasiri na kile kiburi chake kilichomfanya ateme maneno ya chuki dhidi ya adui yake ghafla ulimuisha.

ni kweli alikuwa anatamani siku moja afe yule adui lkn sijui kwann nafsi ilimsuta alipothibitisha amemuangusha,
tamaa yake na wivu vikamgeuka nakuwa majuto yalomcharaza bila huruma.

sasa alikuwa katika fungu la wauaji na alikuwa ameua kiumbe kisicho na hatia, ndio hakikua na hatia sababu hakuna kosa alilofanya kiumbe yule ni chuki zake tu ndiyo zilimfanya ampige vita kila siku iitwayo leo.
alianza kumsambulia kwa vijiwe vidogo vidogo lakini kadiri muda ulivyozidi kusonga mbele alikuwa akiokota majiwe makubwa zaidi.
kilichokuwa kinamstaajabisha ni hata alipoweza kunyanyua jabali nakumshushia nalo bado kiumbe kile kilihema na kutema tabasamu lake la amani na upendo ambalo yeye siku zote alilitafsiri tabasamu lile kama ni la dhihaka na dharau.
ni hapa ndipo alipotoka mashariki kuelekea magharibi kutafuta silaha za moto baada yakuthibitisha vijisumu na silaha za kawaida hazimuui.
kufika kule alikusanya makombora, mabomu ya nyuklia na ma grenade ya kila namna.
aliwanunua na vijana walojichokea maisha akawamezesha chuki ili waweze kujitoa mhanga mbele ya kiumbe kile.
mara zote alipoulizwa chuki yake inatokana na nini alijibu kuwa "anachukia watu wanaojinasibu wataishi milele!"
hakuwa na maelezo zaidi ya hayo, muda wote alibaki kimya akikunja sura yake huku akiwaza namna gani atammaliza adui yake.
sura yake ilipambwa nanyusi za wivu mdomo wake uliwekewa ulimi wa upanga huku lips zake zikipambwa na kiburi, macho yake ya dharau yalifanya muda wote kiini cheusi kizungukwe na wekunde badala ya ule weupe uliozoeleka kwa wanadamu.
tangu kuzaliwa kwake aliwahi kusikia habari nyingi sana lakini
miongoni mwa habari hizo hii iliyoeleza kuwa zile silaha zake alizozinunua kwa gharama zimeshindwa kumuua kiumbe yule ilimdhoofisha mno.

alishangazwa zaidi na taarifa kuwa hata watu aliyowanunua wajitoe muhanga wamekufa wao bila kumuachia hata jeraha adui yake.
"iweje asife wakati yeye wala hapambani wala hajihami na wala hana ulinzi!!?" maswali haya ndio yalimshangaza zaidi.
Sasa silaha zote zilimuishia na akaambulia kupewa ujumbe na adui wake "njoo mwenyewe, kama unajiamini"
ujumbe huu ulimkasirisha akabeba silaha yake moja tuiliyosalia aliiweka kiunoni.
akaanza kupiga hatua za hasira kumfuata mwenyewe adui yake, sasa ilikuwa ni vita ya kufa na kupona.

alithibitisha mwenyewe kuwa jamaa hakudhuriwa hata kidogo na silaha zake yaani alimkuta wa afya buheri, alijaa tele kama pishi la mchele.
aliliona pia Tabasamu lake la amani na upendo lilizoeana sana na uso wake hivyo kuwa kama mapacha, jina lake aliitwa SIMULIZI.
huyu ndiye aliyekuwa akipigwa vita usiku namchana, kilichomponza ni ubini wake baba yake aliitwa ZINAISHI.
alijenga himaya yake kuubwa aliyoipa jina la ommyzongo.blogspot.com.
hatimaye siku yakukutana ana kwa ana na adui yake ilifika.
bila kujua adui yake aliamua kumfanyia hila yakumfuata kwa kumshutukiza, aliamua kumshambulia kwa nyuma, bastola yake sasa aliishika mkononi barabara, alinyata kwa tahadhari na alipobakisha hatua chache tu akamvamia kwa nguvu, alimng'ang'ania mauongoni kama ruba, alimpiga mara kadhaa kichwani kwa kitako cha bastola, kwa dhamira ya kumzimisha, lkn jamaa alibaki ngangari kinoma.
aliyajua maajabu ya adui wake kutokufa hata iweje hivyo akaamua kujaribu kumpiga risasi za utosi ili kuona kitakachojiri.
hili lilikuwa jaribio lake la mwisho alijiambiza kuwa endapo risasi zile hazitamdhuru atampigia magoti nakusalimu amri.
na ataamini kuwa SIMULIZI ZINAISHI nahakuna wakuziua. alihesabu 1..2...ilipofika tatu akamimina risasi mfululizo kwenye utosi wa SIMULIZI.
kwa mara ya kwanza SIMULIZI
alidondoka chini!!
damu ziliruka angani, ardhi iliupokea mwili wake alionekana akitapatapa nakurusha miguu huku na kule kisha baadae akawa kimyaaaa....

KIMYAAAA.........
Ajabu ni kuwa badala ya muuaji kufurahi alibaki akitweta kwa kihoro.
hapa ndipo alipojiona mkosaji nafsi ilimsuta eti kwa mara ya kwanza hakuona sababu za kumuua!

kwa tahadhari alianza kuondoka eneo lile huku akiangaza huku nakule.
SIMULIZI bin ZINAISHI akiwa chini akigaagaa. msaada wake utoke wapi? alibaki KIMYAAAAA
KIMYAAAAA
KIMYAAAAA
ETI NI KWELI SIMULIZI AMEKUFA KIRAHISI NAMNA HII ?????
waingereza husemaga
waingereza husemaga
TO BE CONTINUES.........
BIN ZONGO........