Haunijui hata kama labda nimezaliwa nawe tumbo moja, haunijui! usije Ukadhani kupeana mikono, kugonga cheers kudance wote club ndio kunijua nop, haunijui Rafiki yangu!
Kunijua sio kukaa nawewe jirani au kushare nawewe bed, mpenzi wangu pia sikufichi haunijui!
Kama tumesoma wote tukakaa wote darasa moja au labda tumekutana ofisini tukawa team moja yakufanikisha ndoto za kampuni yetu sio sababu bado hujanijua,
Nina uhakika na nikisemacho HAUNIJUI, usiongee chochote kuhusu mimi, usininunie, usiniringie wala usijishaue mbele yangu sababu HAUNIJUI,
Ndio inawezekana labda nilishawahi kutaniana nawewe, kula pamoja na hata nilishawahi kukulilia shida ukanitatulia au mimi nikakutatulia shida zako lakini Haimaanishi ndio unanijua!
Acha nikwambie kitu kuhusu mimi,
Naitwa Binaadamu, Nina moyo ambao umeficha mengi sana ambayo yananipa sababu niseme HAUNIJUI,
Sitaki useme nakupenda eti sababu nimekuchekea huwezi jua moyoni mwangu Nina fikiria nn kuhusu wewe,
Usiniite mwema kisa nimekupa mkono au kukumbatiana nawe, inawezekana mimi ni adui yako namba moja!
Unatakiwa kuwa makini mno na yoyote uliye nae karibu, usijidanganye kuwa unamjua, umakini wako utakufanya uwe mbali na maumivu yakutendwa na mpenzi wako uliyempenda, ndugu yako uliyemuamini au Rafiki uliyemthamini nakumuona mwenzako kwenye dhiki na raha..
Usijidanganye haunijui kama ambavyo me sijidanganyi kuwa nakujua!
Hatujuani kiukweli.....