Naamini ilipaswa Mimi kuwa na wewe, ili ikamilike historia iliyoandikwa miaka mingi hata kabla ya Mimi nawewe kuzaliwa.
Inawezekana Mimi au wewe mmoja wapo alikuwa chanzo cha penzi letu kuvunjika lkn haimaanishi kuwa wewe sio mke bora, au Mimi ni mwanaume mkorofi sidumu katika love, haipo ivo. naomba ufahamu ilipaswa tuachane sababu unastahili kupata aliye bora namimi nipate aliye sahihi.

Unaweza kujiuliza mbona hata baada yangu uliachana na uliyempata, swali zuri sana!!
Naomba nikujibu, haimaanishi una mkosi Bali ni katika kuhakikisha unajifunza zaidi wanaume nikina Nani! Udhaifu wao na jinsi gani unapaswa kuishi nao ili isije kuwa tatizo kwa mumeo ambaye ndio atakuwa wa halali.
Upo msemo wa yupo wa ubavu wako, fahamu kuwa yupo tena ni sahihi kabisa kwako, akifika unaweza usimjue lkn umakini wako ni muhimu sana,Mimi sikuwa wa ubavu wako ndio mana tukaachana! usijaribu kujidhalilisha kwa kufungua kufuli lako kwa kila mtu ukiamini ndio yule wa ubavu wako, utapotea na utaharibu pia malengo yako,
Baki ukisali sana, omba MUNGU kwa maana wengi watakuja nakujiita wa ubavu wako, utajilaumu sana ukigundua siye kama ulivyojilaumu ulipogundua kuwa Mimi siye.
Me saivi nawaza kuoa, sjui kama wewe umefikiria swala lakuolewa ni muhimu sana sababu saiv vijana tunakufa mapema mno.
Nashukuru sana wewe ni miongoni mwa waalimu wangu walionifundisha vingi kuhusu mapenzi, na nini ni sahihi kukifanya ili kuepusha penzi lisivunjike NIMEJIFUNZA VINGI SANA KUPITIA KUACHANA KWETU!.
Unakumbuka mwanzo wa penzi letu tulikuwa tukipendana sana, ilifika mahali hata ukikohoa nakuuliza kama umeumia! Dah ulinijali sana nami nikakujali lkn sijui nini ikafika mahali mahaba yakapungua na mwisho tukawa hata tunapitisha siku kadhaa bila kuonana wala kujuliana hali!
Ikaendaaaa mwisho tukawa tunakaripiana kwa kosa dogo tu!
Sikuwa na elewa kama ndio hatua zakuelekea tamati ya penzi, lkn sasa naelewa kumbe mapenz ndio yalivyo na yana hatua zake,
MWANZO huwa matamu, KATIKATI huwa yamazoea na MWISHO huwa yakaraha.
Sasa basi tambua haya nakila siku uwe mbunifu na uweze dumu penzini.
tambua kuwa Umeumbwa ili ukamilishe uhusika wa mwengine duniani.
ZONGO
#Mrexperience..