Rafiki yangu mmoja, alijikuta siku moja anasifia post yangu nzuri baada yakuisoma,
Nakumbuka alicoment...."mtoto wa Shabani Robert, unajua hicho unachokituma ni pesa"
Niliripuka na furaha sio kwa ajili yakuona thamani ya ninachokipost Bali kunifananisha na mzee ambaye mara zote naamini nafsi yake inaishi ndani yangu!
Kuhusu pesa, hii leo
amenifanya niseme kitu kuhusu pesa, naamini itakuwa na msaada hata kwako
wewe ambaye unaogopa kuthubutu kuonesha thamani yako eti sababu unataka
wakati ukifika na fursa ya pesa ikiruhusu ndio uonesha ulicho nacho,
siambatani nawe katika hilo!
Ninachoamini katika pesa nikwamba hujikusanya kwa anaefanya kazi nzuri na kwabidiii, hujikusanya hata kama hautajua mahala inapojikusanya lkn hujikusanya kadiri unavyoongeza juhudi yakufanya kazi nzuri,
Usichoke kamwe kufanya kazi nzuri halafu jioni unarudi mkono mtupu na ikibidi unalala na njaa amini kuwa pesa zako zipo mahala usipopajua na zitafika muda ambao hautajua....
Huu ni msimamo wangu kuhusu pesa.... Kilicho ndani yangu ni zaidi ya likes za marafiki wanazotoa kene post zangu au comment za aina yoyote.... Namfurahia zaidi anaeshare sababu anajenga hisia chanya kwa watu wengi zaidi kupitia kilichopo ndani yangu....
Pesa zangu zipo tu mahali na naamini sasa hivi zimezidi kuwa nyingi ingawa bado naamini hakuna pesa itakayoweza kulipa thamani ya kilichopo ndani yangu. AJABU ZAIDI SIKIJUI KILICHOPO NDANI YANGU...