Huu Moyo!!!
Hua haushauriani nami kama nipende au nisipende, unatumia ubabe nakunifanya nipende tu kwa lazima,
Ninapoumia Wenyewe ndio unakuwa wakwanza kuumia halafu haustahimili maumivu peke yake unayatawanya katika kila kiungo changu basi najihisi mnyonge mno,
Nikiuuliza kuhusu vp kazi yake yakusukuma damu, unanijibu kibabe eti 'hayanihusu'. Lengo langu nikutaka kujaribu kuusaidia kiushauri kwamba kama vp ungetulia tu kwenye zoezi hilo mana wakati mwengine unaumia mpk mapigo yake yanaenda taratiiiibu. 'Utaniua huu moyo'.

Halafu unaongoza kwa uongo na tamaa Mara zote nimeushtukia kuwa unanidangaya unapenda kumbe unatamani, yaani moyo una vituko!!
Wenyewe una maumbile laini sana na dhaifu pia na ndio mana ukafichwa ndani ya gamba gumu 'kifua', lkn Mara zote unajifanya uko imara na hata kiniamrisha nifanye kitu bila kunipa muda wakufikiria Mara mbili,
Zaidi moyo ni msaliti wangu namba moja, eti wakati naunanga kwa maneno haya kwambali unanisemesha kuwa 'NISIUNZINGIZIE NI UPUMBAVU WANGU MWENYEWE' dah! Sema naupenda sana moyo wangu ni miongoni mwa viungo shujaa vilivyopo ndani yangu huwa hauniangushi katika kuficha maumivu yangu, huwa unanitaka nitabasamu hata kama wenyewe unatota kwa machozi, huwa unanipa chaguo jengine baada yakuona chaguo la kwanza ni jumba la kero....
mara zote zinasikika sauti mbili kutoka ndani ya moyo wangu (inner voice) hasa niwapo ktk chaguo la kimoja ktk viwili, lkn huu moyo huongeza sauti itoayo majibu chanya nakuifanya ijirudie Mara nyingi zaidi ya ile isemayo mawazo hasi...
Huu moyo hunifanya niongozwe na misemo kama MOYO WANGU SHUJAA POPOTE WAKAA, ama ule wa wahenga usemao 'MOYO WANGU SULTANI CHAMTU SITAMANI' ...