Siku kadhaa zimepita tangu niandike barua kwa marehemu nguli
wa Kiswahili na mtunzi wa mashairi Sheikh Shaabani Robert,...

Mafanikio Yatabaki Kwao!
Nafsi za wazee wao zinacheka kicheko cha majivuno, wanajivunia sana kuacha vizazi ambavyo vinaenzi uwepo wao, sura...

Kuanzishwa, kuishi na kuanguka kwa Taifa Daladala!
Taifa lenye kila aina ya sifa lakuitwa taifa lenye maendeleo, ajabu haliishi mtu ndani yake, limeumbwa kwa mvuto wa hali...

WEWE,
Sio kosa kukunyooshea kidole wewe hii leo,
nakumbuka niliwahi kukemewa kumnyooshea kidole mtu yeyote ama awe mkubwa kwangu
au...

Nimepata Nafasi.
Sitaki ifike sehemu nikukose eti kisa sijaitumia hii nafasi, nakumbuka vizuri kuna siku fulani niliwahi kupata nafasi kama...
Barua Kwa shaaban robert Kwa video
Ikiwa imepita miaka hamsini tangu kufariki kwa nguli wa mashahiti na mtunzi wa simulizi mbalimbali Baba wa kiswahili Marehemu...

Barua kwako Mzee wangu Shaaban Robert
Salaam ama baada ya salaam, Ni...
Nitaomba muda wako 'Uisome'
Baadhi ya vitabu vyenye upekee wa Shaaban Robert katika uandishi
Kama utakosa kabisa muda basi tafadhali naomba niazime...

Acheni Niandike
Nchi inaitwa WATAJIJU serikali yake inayoongoza nchi hii ina nguvu na inafahamika kote ulimwenguni ikiitwa WAPUUZAJI watumishi...

Inataka Moyo
sio rahisi hata kidogo
na inahitaji moyo na sio mradi moyo tu, moyo wenye ujasiri na usio mwepesi
kutiririkwa na machozi,...

NITAKUOA LAKINI SITASAIDIA NDUGU ZAKO!
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
...

Ni Kama Nyota
Majira yanabadilika, kuna muda anga linameremeta kwa uangavu wa jua, huku likiwa na matokeo ya joto kali na mvuke wa moto...

NILIWAHI
Niko ndani chumbani, ugenini,gizani, najihisi mpweke,
aliyezima taa sijakua nae, simjui nimekutana nae ukubwani, nakumbuka...

TAFITI NDANI YA SIKU HATARI......
Nilitamani sana kupata mke mwema, hasa atakayeweza kusimamia familia yetu hata kama Mimi ikitokea sipo duniani.
Nimewaza...
Subscribe to:
Posts (Atom)