MWANAMKENDEGE ; USHAIRI ommyzongo.blogspot.com 11:26 Add Comment ommyzongo.blogspot.com hadith hadith njoo simulizi lake sikio naanza safisha koo nikupe langu tukio eneo nikariakoo sikujua mwanamkendege ushungi,...
MUHIMU KUJUA @ukweli unaumbua ommyzongo.blogspot.com 11:33 Add Comment ommyzongo.blogspot.com Ukweli unapotaka kudhihirika kamwe hauwezi kuzuiliwa na nguvu ama utashi wowote alionao mwanadamu. amini nakwambia ukweli...
Dear Septemba.... ommyzongo.blogspot.com 10:54 Add Comment ommyzongo.blogspot.com "Mwezi ambao nimezaliwa mimi, Mwezi ambao nauthamini, sijui kwanini hua unakuja nakuondoka mwezi huu, September" Na. Omar...
chuki shairi ommyzongo.blogspot.com 01:06 Add Comment ommyzongo.blogspot.com chuki imekuwa vazi, limewakaa mwilini. kulivua kwao kazi, haling'oki mauongoni kama dunia twapita chuki ya kazi gani. imewakaa...
SHAIRI: JAWA ommyzongo.blogspot.com 00:24 Add Comment ommyzongo.blogspot.com "Ni baada tu ya rafiki yangu fulani wakati nipo chuo kuniomba nimuandikie utenzi kumuhusu, kila siku nilikuwa namuahidi...
Wa UBAVU WAKO ommyzongo.blogspot.com 13:27 Add Comment ommyzongo.blogspot.com Wazungu wanamuita soulmate je unamjua mtu huyu? umeshakutana nae? unadhani yuko wapi?? anza sasa kumfikiria...
mtandaoni shairi ommyzongo.blogspot.com 23:41 Add Comment ommyzongo.blogspot.com Na Bin Zongo karibu mtandaoni uyaone ya duniani karibu keti makini ujue nani ana nini bando la uhakika bando halina...
PANDE MBILI ZAZOZANA ommyzongo.blogspot.com 05:54 Add Comment ommyzongo.blogspot.com Pande moja imevaa gauni ishara ya mwanamke nyengine imetinga kanzu ishara ya mwanaume! moja ya kanzu yasema wake waharibifu...
USISAHAU CHANGAMOTO @UjanaMajiYamoto ommyzongo.blogspot.com 21:53 Add Comment ommyzongo.blogspot.com Na. Omar Zongo Ishi nami kwa furaha ila tambua siku moja kuna karaha hivyo usisahau kujiandaa! Usisahau changamoto...
USINIACHE MUNGU WANGU! ommyzongo.blogspot.com 10:01 Add Comment ommyzongo.blogspot.com Naandika kwa mtindo wa kuomba, maombi ambayo yametawaliwa na unyenyekevu na sura yangu ina dalili zote za kuonesha kuwa...
MASIKINI "MSAMAHA" @thamani yako haipo!! ommyzongo.blogspot.com 08:23 Add Comment ommyzongo.blogspot.com uko wapi rafiki yangu msamaha, kusema kweli nimegundua leo kuwa haupo katika dunia hii maana mimi mwenyewe nimeshindwa...
KESHO HAIJULIKANI @Ishi Ki kamilifu ommyzongo.blogspot.com 09:36 Add Comment ommyzongo.blogspot.com Na Omar Zongo Siku za mwisho kabla ya kifo chako nakiri niliona mabadiliko ya kitabia! ulipenda kukaa mwenyewe! upole...
TWENDAPO WAZEE HAWATAKUWEPO!!! ommyzongo.blogspot.com 09:29 Add Comment ommyzongo.blogspot.com "Huko twendako, siku baada ya hizi nina uhakika wazee watakuwa viumbe adimu kuonekana katika sura ya dunia hii! sababu...
SAUTI YA MUNGU ommyzongo.blogspot.com 11:59 Add Comment ommyzongo.blogspot.com Anaandika Omar Zongo wakati mwengine ukiwaza sanaaaa utagundua kuwa hauna faida yoyote kwa mwenzio wala yeye...
NIHESHIMU MKE WANGU ommyzongo.blogspot.com 10:37 Add Comment ommyzongo.blogspot.com Unakumbuka maisha yako kabla sijakuoa?? ulikuwa hauna tofauti na bidhaa yakukodiwa ambayo ilikuwa ikitumiwa nakurudishwa...
MWENYE SIFA HIZI AJE!!! ommyzongo.blogspot.com 10:28 Add Comment ommyzongo.blogspot.com Awe na kinywa tulivu chenye ulimi asali, neno lake tulizo sauti yake gitaa. umbo lake pambo, mvuto kwa jicho langu, rangi...
JUNIOR ommyzongo.blogspot.com 13:52 Add Comment ommyzongo.blogspot.com "Sikuwahi kusimulia kisa cha kweli nikakiruhusu kusomwa na watu pengine hii inaweza kuwa simulizi yangu ya kwanza...
UMESAHAULIKA BABA WA KISWAHILI ommyzongo.blogspot.com 02:14 Add Comment ommyzongo.blogspot.com Imekuwa ni desturi yangu kuenzi harakati zako kila siku hasa kipindi ambacho ni kumbukizi ya kifo chako mithili yakuzima...